Flames

I hate that I like you,it makes me too selfconcious

Advertisements

Of love and other drugs pt2

Kiba alisema mapenzi yana-run dunia Lakini nadhani kwangu love imechoka kukimbia  Ju Madem hawataki wasee wa campo Wametuleft sa wanafuata wazee ka ocampo Nimekazana kuchapa gym niget six pack abs But wanataka buda anadrink 6pack ya beer na kulipa uber cabs Ziwachukue from the hostel to the motel Ju room yangu ni bedsitter na tunaishi … Continue reading Of love and other drugs pt2