Of love and other drugs

​Nilidhani itakua kazi rahisi kuwa na manzi

After all kile anataka ni soda kuku na vibanzi

Kumbe anataka kupanda juu in society na mi ndio ngazi

Na vile nimesota inabidi nikue jambazi

Ili ni-sustain her expensive habits

Angalau aniachie nikute her bits.

Ujinga ni kujidanganya that her heart I’ve won

In reality I know  I’m not the only one

Ju Akiwa na mi haoni haja ya kujirembesha

Maybe ye huskiza khaligrah,zake tu ni em-besha

Akipitia tao aone trenchcoat na matching heels

Ka kwetu haingekua plateau I would’ve run for the hills

Nimefanywa kipofu na mapenzi ju siezi ona

But if hii ndio love wanasema is found in every corner

Then my life must be a circle,duara

Ananipenda kwa maneno tu,ye si doerer 

Eti live fast die young na yolo ndio her motto

Anapepeta pot ya sheesha but home jiko haiwaki moto

Kwa klabu anakamatia chini hadi wazime mataa

Lakini haezi inama kufua nguo,mgongo imekataa

Hii wife material hununuliwa wapi in large quantity

 Angalau nimshonee nguo nayo apate hio quality

Ndio wasee wakiona moshi kwangu wajue nimepata jiko

Sio ati ju ugali imeungua ju sijui kushika mwiko

©paulzay™

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s