Gratitude : The 2016 Wrap up

Nashukuru Mungu huu mwaka umeisha

Ilikua ngumu lakini hata mapepo njia walinipisha 

Maadaui waliwasha kiberiti ndio wanichomee picha 

But I’m positive I always see a half full pitcher

So life ilikua tu tamu tena sana 

Nimebaki church nikiimba tu hosanna

To give thanks and praise to the most high 

For the blessings  and challenges without asking why

Ju ananijali so haeziniacha na shida siwezani

Sijawaikosa kitu,always kuna food mezani

I don’t need weed to get high ju ananiinua

From one glory to another and his mercies are always newer

Every morning 24/7 365 bila fail

Hakuna day nimegonjeka nikawa frail

Of course nimego off-course but amenirudisha kwa the trail

Amenisamehe dhambi akanifanya the head not the tail

My life he has sustained all year long plus tangu

Aniandalie meza mbele ya wale watesi wangu 

Wameshindwa waseme nini kunihusu 

Especially ule Judas alini-betray na busu

I went from walking through the valley of the shadow of death

To walking through the valley of the shadow of wealth

Hata ninjas can’t touch me with their level of stealth

Maombi zimejibiwa zote utadhani zilikua maswali

My spirit has always been rising(rice-ing) utadhani wali

Mi na Andy mburu tunafaa kutoa remix ya ananijali

Vile tu naskia kutoa shukrani ju ya the way amenipenda

Alisema atakuwa na mimi na hajawainitenda

 the beginner and ender of all things pia ni airbender

Ame-calm the storms in my life ju kwake nime-surrender

Sa ni mbinguni tu ndio nategea kuenda

Na kuingia 2017 with a customized kalenda

Of events Ju for my life already God has set the agenda

Copyright ©paulzay 2016

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s