Of love & other drugs pt3

Sio ati amenikataa lakini pia hajasema ndio Ju ametoka bara sitaki kumpeleka mbio Moyoni nadai kumwambia 'jaber tim piyo' Yani mrembo harakisha unizimie kisha Uwe my Cole like Keysha hata Kama budako anatisha Hakuna mwingine nataka katika hii maisha

Advertisements